NKWAMIRA NA TEA WAANZISHA CHANGIA ELIMU

 Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 za msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena jijini Dar es Salaam,wapili kushoto ni Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla, Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Lusala na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia


Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Lusala wapili kutoka (kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 za msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla, Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguzo, Meneja wa  Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele (Kushoto) kulia ni Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar .
 



Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Midana akisisitiza jambo kwa wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 za msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla,Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguzo, Meneja wa  Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele (Kushoto)
 



Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia) akiongea kwa waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 za msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Wapili kulia ni Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Lusala. Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla, Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguo, Meneja wa  Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele (Kushoto)
 


Meneja wa  Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo pichani juu umuhimu wa kusaidia kupatikana elimu bora nchini  ambapo taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira  Oktoba 3 mwaka huu wataakuwa na hafla ya kutafuta uwezo wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 za msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena  wapili kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguzo, Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda, Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla , Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Lusala na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia) 


Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena  katikati ni Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Midana na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia)  kwa wale ambao hawatafika katika hafla hiyo wanaombwa kuchangia  mradi huo kupitia namba 777777 yenye jina la Nkwamira.
 



Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Kushoto ni Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda ,Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Lusala na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia)
 



UCHANGIAJI WA VITABU: Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 za msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Kushoto ni Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda ,Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Lusala na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar.

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA