MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA INGIA HUMU.http://www.necta.go.tz/matokeo/2017/psle/psle.htm

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS, WILAYA YA BAGAMOYO

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

PSLE 2017 EXAMINATION RESULTS

KIZUIANI PRIMARY SCHOOL - PS1401023

WALIOSAJILIWA : 98
WALIOFANYA MTIHANI : 97
WASTANI WA SHULE : 137.2062
KUNDI LA SHULE : Watahiniwa 40 au zaidi
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KIWILAYA: 7 kati ya 22
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KIMKOA : 36 kati ya 239
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KITAIFA : 2240 kati ya 9736

CAND. NO
SEX
CANDIDATE NAME
SUBJECTS
PS1401023-001
M
ABDALLAH MKUFU DOTO
Kiswahili - E, English - E, Maarifa - D, Hisabati - E, Science - D, Average Grade - E
PS1401023-002
M
ABDUL YAHAYA HUSSEIN
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - B, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-003
M
ABUBAKARI JUMA MNYUKWA
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - B, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-004
M
ABUU MAULIDI KONDO
Kiswahili - A, English - D, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-005
M
ADAMU ABDALLAH MILAO
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-006
M
ADAMU HAMISI CHUKI
Kiswahili - C, English - D, Maarifa - B, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-007
M
ALFRED STEVEN KILUA
Kiswahili - A, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-008
M
ALLY ZAKARIA ALLY
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-009
M
AMRANI TIZO MKWAMA
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - D, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-010
M
AYUBU HAMISI KIKOVE
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-011
M
BRIGHTON SALMON LAISER
Kiswahili - B, English - B, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-012
M
DAMAS DAUDI MUSA
Kiswahili - E, English - D, Maarifa - E, Hisabati - E, Science - E, Average Grade - E
PS1401023-013
M
DONART KIBARA DONART
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - B, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-014
M
EMMANUEL NGASA MACHIYA
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - B, Hisabati - A, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-015
M
HAMISI HOSSENI MTUPENI
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - B, Hisabati - A, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-016
M
HASSANI MUHSINI HAJI
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-017
M
HOSENI ADAMU HOSENI
Kiswahili - C, English - D, Maarifa - D, Hisabati - D, Science - C, Average Grade - D
PS1401023-018
M
HOSENI MOHAMMEDI KINGWANDE
Kiswahili - C, English - D, Maarifa - E, Hisabati - E, Science - C, Average Grade - D
PS1401023-019
M
IBRAHIMU SHARIFU MZEE
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - D, Hisabati - D, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-020
M
IMRANI KONDRADI FISI
Kiswahili - D, English - D, Maarifa - E, Hisabati - E, Science - D, Average Grade - D
PS1401023-021
M
ISMAIL BURHANI ABDUL
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-022
M
ISSA GHARIBU OMARI
Kiswahili - A, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - B
PS1401023-023
M
JAKOB IBRAHIM YAGA
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - B
PS1401023-024
M
JUMA BAKARI HUSSEIN
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-025
M
JUMA FREDI HATIBU
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - B, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-026
M
KASMIRI ROBOGASTI BENEDICT
Kiswahili - D, English - E, Maarifa - E, Hisabati - E, Science - D, Average Grade - D
PS1401023-027
M
LARRY BENJAMIN JOSEPH
Kiswahili - A, English - A, Maarifa - B, Hisabati - A, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-028
M
MASUDI KASIMU MASAKA
Kiswahili - A, English - B, Maarifa - B, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-029
M
MDACHI KASIMU MASAKA
Kiswahili - B, English - B, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-030
M
MKALI ABUU ROGART
Kiswahili - A, English - B, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-031
M
MNANKA CHACHA WAMBURA
Kiswahili - B, English - B, Maarifa - B, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-032
M
MOHAMEDI BAKIRI RAJABU
Kiswahili - B, English - B, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-033
M
MOHAMEDI KAMBI SHABANI
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - D, Hisabati - D, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-034
M
MORICE ALLY SELEMANI
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-035
M
MUSA ABDALLAH MUSA
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - D, Hisabati - E, Science - D, Average Grade - D
PS1401023-036
M
MWENDA KASIMU MWENDA
Kiswahili - C, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-037
M
MWINJUMA MSOMA LILA
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-038
M
OMARI RAMADHANI MATHIASI
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-039
M
PAULO MBAGA JOSEPH
Kiswahili - C, English - D, Maarifa - D, Hisabati - D, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-040
M
RAMADHANI MOHAMEDI MKALI
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - D, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-041
M
RIDHWANI MCHUMI ABDALLAH
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - D, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-042
M
SADI JUMA ADAMU
Kiswahili - C, English - D, Maarifa - C, Hisabati - D, Science - D, Average Grade - D
PS1401023-043
M
SAIDI ALI HOSENI
Kiswahili - C, English - E, Maarifa - D, Hisabati - E, Science - C, Average Grade - D
PS1401023-044
M
SAIDI JUMANNE MASHAKA
Kiswahili - C, English - E, Maarifa - D, Hisabati - D, Science - C, Average Grade - D
PS1401023-045
M
SAIDI SALUMU JAMES
Kiswahili - C, English - E, Maarifa - D, Hisabati - E, Science - D, Average Grade - D
PS1401023-046
M
SALIMU ABEDI SALIMU
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-047
M
SELEMANI HUSSEIN MAGOSO
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-048
M
SELEMANI OMARI KOMBO
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - D, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-049
M
SHEKHANI HASHIMU SAIDI
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-050
M
SHUKRANI HAMISI HOSSENI
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - D, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-051
M
THOMAS MARTIN EMMANUEL
Kiswahili - C, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-052
M
YAHAYA SALUMU YAHAYA
Kiswahili - C, English - D, Maarifa - D, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-053
M
YUSUFU WAZIRI ABDALLAH
Kiswahili - X, English - X, Maarifa - X, Hisabati - X, Science - X, Average Grade - X
PS1401023-054
F
AISHA RAMADHANI MRISHO
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-055
F
AISHA YAHAYA THABITI
Kiswahili - A, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-056
F
AMINA IDDI ABDUL
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - B, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-057
F
AMINA JAFARI SAIDI
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-058
F
ASHA JUMA ALLY
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-059
F
AZIZA MUHALAMI MIRAJI
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-060
F
BENEDICTA FERDINANDI CHUWA
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - A, Science - C, Average Grade - B
PS1401023-061
F
BISHARA KIBA MANENO
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-062
F
ELIZABETH BARNABAS MBOSA
Kiswahili - A, English - D, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-063
F
ESTHER FRANCIS BRUNO
Kiswahili - A, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-064
F
FAUDHIA SHABANI NDUNGURU
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-065
F
HADIJA WAZIRI JITU
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-066
F
HAPPYNESS FUNDI BRUNO
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-067
F
HAWA ABDALLAH MILAO
Kiswahili - C, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-068
F
IMAKULATHA MAKARIOS MAPUNDA
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - A, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-069
F
JOYCE MWANDU LUHENDE
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-070
F
KINDNESS BONIVENTURA DEUS
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-071
F
KURUTHUMU SAIDI SHABANI
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - D, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-072
F
LAILATHI ALLY ATHUMANI
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-073
F
LAILATHI RAMADHANI SAIDI
Kiswahili - B, English - E, Maarifa - D, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-074
F
LELA HASSANI JUMA
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - D, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-075
F
LILIAN WILIAM RICHARD
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-076
F
LINA AMOSI LUNGWA
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - A, Science - B, Average Grade - B
PS1401023-077
F
MAGRETHI FELICIAN EDESI
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - B
PS1401023-078
F
MARIA PAULO CAROL
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - B
PS1401023-079
F
MOSI HASSANI ALKADO
Kiswahili - A, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-080
F
MWANAASHA ABABUU JUMA
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-081
F
MWANAHAWA MFAUME JUMANNE
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-082
F
NEEMA TITO MGIMWA
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-083
F
NURU AYOYI JULIUS
Kiswahili - A, English - D, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - B
PS1401023-084
F
NURU HASSANI MWALIMU
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - D, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-085
F
OLIVER SCHOLASTICA HAULE
Kiswahili - C, English - D, Maarifa - D, Hisabati - D, Science - C, Average Grade - D
PS1401023-086
F
RABIA ABDALLAH TUMAINI
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-087
F
RASHDA ALLY RAMADHANI
Kiswahili - C, English - D, Maarifa - E, Hisabati - D, Science - C, Average Grade - D
PS1401023-088
F
RASHDA JUMANNE IDDI
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - D, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-089
F
REHEMA HALFANI HASSANI
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - D, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-090
F
REHEMA HAMISI BAKARI
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - B, Average Grade - C
PS1401023-091
F
SAKINA SAIDI OMARI
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - C, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-092
F
SALAMA SAIDI NASORO
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - D, Hisabati - D, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-093
F
SALOME ANGELO KWEYUNGA
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - D, Hisabati - C, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-094
F
SHADYA SIZA IDDI
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - D, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-095
F
SOPHIA HASHIMU MASEGELE
Kiswahili - B, English - D, Maarifa - D, Hisabati - B, Science - C, Average Grade - C
PS1401023-096
F
WARDA IDRISA DAVID
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - A, Science - C, Average Grade - B
PS1401023-097
F
ZENA JUMA MAGOSO
Kiswahili - B, English - C, Maarifa - C, Hisabati - A, Science - C, Average Grade - B
PS1401023-098
F
ZUBEDA SALIMU ZIDI
Kiswahili - A, English - C, Maarifa - C, Hisabati - B, Science - B, Average Grade - B

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla amesema  Tanzania na Nchi ya Oman zimefanya mazungumzo katika kuimalisha sekta ya Utalii hasa kwenye Utalii wa kukuza Utamaduni na ule wa Kihistoria uliokuwepo miaka mingi kwa Mataifa hayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Kigwangalla amebainisha hayo jioni ya jana Oktoba 18,2017, wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye maonyesho ya nyimbo na ngoma za Taifa la Oman yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam ambapo pia tukio lilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri na viongozi wa Taifa hilo la Oman ambao wapo Nchini kwa ziara ya kusambaza Ujumbe wa Amani na Upendo kupitia meli ya kifahari ya Mfalme wa Oman Mhe. Qaboos bin Said ‘Fulk Al Salamah’.
Akizungumza mara baada ya kushuhudia maonyesho ya ngoma na nyimbo hizo za Taifa la Oman, Dkt. Kigwangalla amebainisha kuwa, Watanzania wameweza kujifunza na kufurahia utamaduni wa Oman hasa kupitia nyimbo, ngoma na mashahiri ambapo amebainisha kuwa Serikali itaendeleza ushirikiano mwema hususani wa Kiutaduni na kukuza Utamaduni.
“Watanzania na watu wa Taifa la Oman ni ndugu. Hivyo kupitia ngoma  na nyimbo hizi walizoonesha hapa zinafanana sana za zile za Visiwa vya Zanzibar na ukanda wetu huu wa Pwani wa Tanzania.
Pia hata baadhi ya viongozi waliokuja na msafara huu wanazungumza vizuri lugha ya Kiswahili bila kuchanganya na lugha nyingine huku wengine kama mulivyowaona wana asili ya Tanzania ikiwemo Visiwa hivyo vya Zanzibar ambapo walizaliwa huko.” Ameeleza Dkt. Kigwangalla.
Aidha, ameeleza kuwa, kwa sasa wanakusudia kutengeneza chanzo kipya cha Utalii ambacho kitakuwa ni cha Kihistoria na Kiutamaduni baina ya Mataifa hayo mawili  na kufafanua kuwa, Histoia ya Tanzania hasa Lugha ya Kiswahili huwezi kukitenganisha Bara la Arab hususani watu wa Oman.
“Kuna wengine wasomi wa Historia na utamaduni wa Uislamu wamebainisha kwenye taarifa za kisayansi, kuwa pengine hata dini ya kiisilamu ilianza kufika ukanda wa Pwani wa Afrika Mashariki kabla ya hata haijafika baadhi ya Nchi ya Mashariki ya Kati.
Hii ni pamoja na makaburi ya kale kule Bagamoyo, Pemba na sehemu nyingine za Tanzania ambapo kwa pamoja yanaonesha uwepo wa Waislamu na mashekhe wa kiisilamu waliofika kuanzia mwaka 1200 mpaka hadi 2000, miaka mingi iliyopita.” Alibainisha Dkt. Kigwangalla.
Ameongeza kuwa: “Wao wakitangaza vivutio vyao, watavitangaza na vivutio vyetu vya Tanzania. Lakini pia sisi tutatumia fursa vivutio tulivyonavyo ambavyo wao hawana kama Mbuga za Wanyama kuwaalika watu wa Omani kuja kutalii Tanzania, kipindi cha Mwezi Juni, Julai hata Agosti wao ni kipindi cha joto kali kwani wakati mwingine  msimu huo kule wao wanakuwa na utaratibu wa kutoa rikizo ama mapumziko ya muda wa zaidi ya siku 30 hadi 40 hivyo tutatumia  fursa ya kipindi hicho na hata wale wanaowapokea Oman waweze kuja Tanzania kutalii” alieleza.
Pia alimalizia kwamba,  ushirikiano huo, utaongeza soko kubwa la kiutalii.
Msafara huo wa viongozi wa Oman wakiwemo Mawaziri na wafanyakazi wa Meli hiyo ya Mfalme wa Taifa hilo unajumuisha watu zaidi ya 300 ambapo leo Oktoba 19,2017, umetembelea Wilaya ya Bagamoyo kujinea fursa za kiuwekezaji na uchumi katika ukanda huo wa Pwani huku Meli hiyo kesho Oktoba 20,2017 ikitarajiwa kuondoka kuelekea Mombasa Nchini Kenya.

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy alipokuwa akiwasili kwenye tukio la Ngoma na nyimbo za Taifa la Oman, Jijini Dar es salaam
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Waziri wa Uwekezaji wa Oman Mhe. Salem Ben Nasser Al Ismaily, Kulia ni Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy alipokuwa akiwasili kwenye tukio la Ngoma na nyimbo za Taifa la Oman, Jijini Dar es salaam
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla akifurahia jambo pamoja na Waziri wa Uwekezaji wa Oman Mhe. Salem Ben Nasser Al Ismaily, alipokuwa akiwasili kwenye tukio la Ngoma na nyimbo za Taifa la Oman, Jijini Dar es salaam
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla akiteta jambo pamoja na Waziri wa Uwekezaji wa Oman Mhe. Salem Ben Nasser Al Ismaily, wakati akishuhudia tukio la Ngoma na nyimbo za Taifa la Oman, Jijini Dar es salaam
  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla akiongea  na Waziri wa Uwekezaji wa Oman Mhe. Salem Ben Nasser Al Ismaily, wakati akishuhudia tukio la Ngoma na nyimbo za Taifa la Oman, Jijini Dar es salaam
 Bendi ya Jeshi la Taifa la Oman wakipiga nyimbo za Taifa hilo zinazofanyika wakati wa vita na ukombozi
 Baadhi ya wananchi wakiwa na bendera za Taifa la Oman na Tanzania wakishuhudia tukio hilo
 Baadhi ya Askari wa kikosi Maji cha Oman wakiwa katika tukio hilo.
 Dkt. Kigwangalla akizungumza na wanahabari 
 Dkt. Kigwangalla akizungumza na wanahabari 
 Dkt. Kigwangalla akizungumza na wanahabari 
 Kikundi cha utamaduni  cha Oman wakionesha ngoma za Utamaduni wa Taifa hilo.

Mawakala wa benki ya CRDB watakiwa kuendeleza uadilifu

Mawakala wa benki ya CRDB kupitia huduma ya Fahari Huduma kutoka wilaya zote za mkoa wa Mwanza, wakiwa kwenye semina iliyoyandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya kuwajengea weledi na uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja.

Mawakala kutoka wila ya za Nyamagana, Ilemela, Magu, Misungwi, Kwimba, Sengerema pamoja na Ukerewe walihudhuria kwenye semina hiyo iliyofanyika alhamisi iliyopita Oktoba 12,2017 Jijini Mwanza.

Akifungua semina hiyo, Mkurugenzi wa CRDB tawi la Nyanza Jijini Mwanza, Wambura Calystus aliwasihi mawakala hao kuwa waaminifu katika kuwahudumia wateja ikiwemo kutunza siri za mihamara ya pesa za wateja wao huku wakitoa huduma bora kama ilivyo ada ya benki ya CRDB wanayoiwakilisha katika maeneo yao.

Mawakala hao walieleza kwamba semina hiyo itawasaidia kuboresha huduma zao kwa wateja na hivyo kuwahimiza wateja wa benki ya CRDB kuendelea kutumia huduma za benki hiyo kwani zinapatikana kwa urahisi katika maeneo yote nchini.
Na Binagi Media Group

Mkurugenzi wa CRDB tawi la Nyanza Jijini Mwanza, Wambura Calystus, akifungua semina hiyo
Meneja wa CRDB tawi la Nyanza Jijini Mwanza, Mafwimbo Mulungu akizungumza kwenye semina hiyo
Afisa wa CRDB, Danford Muyango akiwasilisha mada kwenye semina hiyo
Mmoja wa maofisa wa benki ya CRDB, akizungumza kwenye semina hiyo
Afisa BIMA kutoka benki ya CRDB tawi la Nyanza, Jackline Jubilate akiwasilisha mada kwenye semina hiyo
Mmoja wa maofisa wa benki ya CRDB, akizungumza kwenye semina hiyo
Mmoja wa maofisa wa benki ya CRDB, akizungumza kwenye semina hiyo
Meneja biashara wa CRDB tawi la Nyanda, Eugenius Mashishanga (kushoto), akizungumza kwenye semina hiyo
Baadhi ya wakala wa CRDB wakichangia mada kwenye semina hiyo
Baadhi ya mawakala wa benki ya CRDB wakiwa kwenye semina hiyo
CRDB ilivyoadhimisha Wiku ya Huduma kwa Wateja Geita

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA