MBOWE MAHAKAMA KUU AWABWAGA MAKONDA NA WENZAKE WATAKIWA KUTOMFUATAFUATA

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akiwa katika chumba cha mahakama Kuu akisubili kesi yake kuanza leo hii jijini Dar es Salaam aliyowafungulia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Mkuu wa Poliis Mkoa wa dar es Salaam Sirro na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wametakiwa wasimsumbue hadi shauli lake la msingi litakapoisha
 Akizungumza na wabunge wa chama chake

 Akizungumza na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho Benson Kigaila
 Mwansheria wa chama hicho Tundu Lissu, akizungumza na wanahabari baada ya kutoka mahakamani



 Mbowe, akizungumza na Lissu baada ya kumaliza mazungumzo na wanahabari
Mapipooo mpoo akitoka mahakamani akipungia mashabiki wake
Gari la Serikali alilokuja nalo likiwa la mkuu wa kambi ya upinzani bungeni
 Mashabi na wanachama wa chama hicho wakiwa nje ya mahakama kuu
Mbowe, akihutubia viongozi wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam baada ya kuwasili hapo leo 


Akizungumza nao


 Akienda kupumzika baada ya kuzungumza nao

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA