UJIO WA LOWASSA NA SUMAYE BUNGENI WALITIKISA BUNGE LEO

 Waziri Mkuu mstaafu, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati mKuu ya Chadema, Edward Lowassa, akisalimiaana na Baadhi ya wabunge alipowasili viwanja vya bunge mjini Dodoma lep chini ya Mwaliko wa Mbunge wa Vunjo James Mbatia
 Waziri Mkuu mstaafu, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati mKuu ya Chadema, Edward Lowassa, akisalimiana na mbunge wa Kilolo, Venance Mwamotto nje ya ukumbi wa bunge
 Naibu Waziri wa Afya Dk. Hamis Kigwangala, akiwa na wabunge wenzake wakiwasili viwanja vya bunge kwa ajili ya kuhudhulia bunge

Wabunge wa CCm, wakijadili jambo kabla ya kuingia bungeni 


Mbunge wa Chemba, Juma Nkhamia, akiomba mwongozo wa spika kuhusu mikopo kwa wanafunzi  wa elimu ya juu kwanini inasuasua.
 



Mkuu wa Kambi ya Upinzania Bungeni Freeman Mbowe, akichangia bungeni leo na kuzua jambo aliposema Serikali ya CCM imefilisika haiwezi kutoa kila kijiji Sh milioni 50.kama mgombea wake urasi alivyoahidi kwenye kampeni
 


Mbunge wa Tarime mjini Esther Matiko, akichangia bungeni
 Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bhashe, akichangia kwani mambo yanahalibika kila kunapokucha  na kumtaka waziri wa fedha kutowadanganya wabunge

Mbunge wa Nyang’wale, Husein Amar, akichangia bajeti leo bungeni


Waziri Mkuu Mstaafu, akitambulishwa bungeni
 Mawaziri wakuu wastaafu Frederick Sumaye na Edward Lowassa, na wajumbe wa wa Kamati Kuu ya Chadema, wakiwa katika eneo la wageni mashuhuri Bungeni




Edward Lowassa, Freeman Mbowe na  Mwita Waitara, wakitoka bungeni kwa ajili ya kwenda kwenye kikao cha chama 



Edward Lowassa, akisalimiana na vijana baada ya kutoka bungeni


Edward Lowassa, akisalimiana na wabunge wa Zimbabwe, waliokuja bungeni jana kutembelea.

 eSumaye na Profesa Safari wakitoka kwenye ukumbi wa bung
 Tundu Lissu na Sugu wakilejea bungeni baada ya kumaliza kifungo cha kuwa nje ya bunge

Mbunge wa Kahama Jumanne Kishimba(kulia), akizungumza na wabunge wenzake wakati wa kipindi cha mapumziko cha bunge kutoka kushoto ni mAhmed Salum Solwa,Seif Gulamali,Manonga  na Husein Amar Nyang’wale. 


 Mbunge Hussein Bashe, mbunge wa Nzega Mjini, alipo changia na kuivua nguo Serikali kwa uongo wake uliokubuhu
 Akibofya chombo chake chamawasiliano akiwa bungeni leo


Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA