MBAO NA SIMBA LIGI YA VODAKOM BARA
Winga
wa Simba Shiza Kichuya (kulia), akimtoka kiungo wa Mbao FC, katikati mchezo wa
Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar
es Salaam
Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib katikati akizibitiwa na mabeki wa Mbao FC, katikati mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam

Comments
Post a Comment