ASKARI WALIPOGEUKA KUWA WATETEZI WA WAHUNI UCHAGUZI WA MEYA KINONDONI


mMOJA WA WAALIKWA AKIMLALAMIKIA ASKARI BAADA YA KUZUIWA KUIMNGIA UKUMBINI katika uchaguzi huo




Askari wakiwazuia wajumbe wa ukawa









Wajumbe wa ukawa wakiwa nje ya uzio wakiwasiliana na wenzao waliomo ndani katika eneo la manispaa ya kinondoni


Wakilushiana maneno na wa ccm































Mwenyekiti wa Chadema akaiwasili katika eneo hilo










Mbowe, akisalaimina na wajumbe wake


hata mbowe nae alizuiwa akwenda kushuhudia uchaguzi huo je agekuwa magufuli agezuiwa demokrasia ipo wapi



Mbowe akiwabembelea askari






hatimae akaruhusiwa kwa mbinde













Polisi na askari wa mbowe vitani












Polisi wakiwawameingia katika mtego wa kuillinda ccm hata kama inafanya uhuni  wao wanabeba dhamana ya kuzozana na wananchi





























Wanahabari wa vyombo vinafsiwalizuiwa kuingia wakaruhusiwa wa vyombo vya Serikali tu eti wanaandika habari nyingi za upinzani

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.