Waumini wa Baps Charities’ nchini wakiwa kwenye kumbukizi ya marehemu Pramukh Swamiji Jai Swaminarayan

 Sehemu ya mapokezi ya ukumbi wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam, waumini walujaza pomoni kushiriki na kusikiliza hotuba mbalimbali za viongozi na kiongozi wao wa kiroho aliyefariki akiwa na umri wa miaka zaidi ya 90
Mwenyekiti wa dhehebu hilo hapa nchini na Mwenyekiti wa Makampuni ya M.M.I.Stell. Subhash Patel akiwakalibisha wageni kutoka nje ya nchi kuingia katika ukumbu huo kuanza shughuli hiyo


 Subhash na viongozi wenzie wakimsubili baadhi ya wageni wao kuwasili
Subhashi, akimpokea Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi , baada ya kuwasili




 Akisalimiana na baadhi ya viongozi



 Rais Mstaafu, Mwinyi, akisalimiana na Dk. Mohammed Seif Khatib baada ya kuwasili

 Akiingia ukumbini





 Karibu Mzee uketi
 Akisalimiana na mzee Andy Chande




 Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nchi Emmanue Nchimbi, akisalimiana na mzee mwinyi, nchimbi alikuwa mgeni rasmi katika shughuli hiyo na alitoa hotuba
Wakizungumza


 Asah Mwambene, akizungumza na ugeni wake katika eneo hilo
Wakipiga picha ya pamoja



 Mwambene, akisalimiana nae

 Viongozi wakisubili kuingia ukumbini

Chande na Mwinyi wakiteta

 Subhashi, akiwaongozi kuingia ukumbini

 Nchimbi na Chande, wakiteta
 Vijana wa dhehebu hilo wakitoa burudani hapo

 Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, DK. Reginald Mengi, akisalimiana na Rais Mwinyi baada ya kuwasili ukumbini

 Mengi akisalimiana na Subhash
Wakiwa katika mazungumzo kabla ya kuanza kumbukizi



 Mama wa imani alivyokuwa akiwabariki baadhi ya waumini wake
 baba wa imani enzi za uhai wake

 Baadhi ya shuguli zake



Mwenye akihutubia

 Waumini walivyojaa
Mkuu wa chuo cha |Sheria Profesa Paramagamba Kabudi, akifuatilia kumbukizi hilo
 Nchimbi, akisoma hotuba yake katika kumbukizi hilo





 Waumini wakifuatilia




 Andy Chande akisoma hotuba yake


Subhash Patel, akihitimisha kumbukizi hilo






 Akiagana na Mwinyi

 Akiagana na Nchimbi
Subhbash, akihojiwa na waandishi wa habali

Wakitoka kwenye chumba cha mapumziko baada ya kuzungumza na wanahabari


Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.