BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama, akijibu maswali bungeni leo asubuhi

 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju, wakibadilishana mawazo bungeni leo
Waziri wa Katiba na Sheria, GGk. Harrison Mwakyembe , akijibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wabunge kipindi cha asubuhi leo
 Mbunge wa Mtela, Livingstone Lusinde, akizungumza na Waziri Mhagama
Naibu SpikaDk. Tulia Ackson, akisoma majina ya wageni waliohudhulia bungeni leo
Baadhi ya wanafunzi waliotembelea bungeni leo

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA