NYUMBA 400 ZAANZA KUVUNJWA KIBAMBA DAR

 Nyumba hizi zilizopo eneo la Kibamba  au Mloganzira Dar es Salaam, lenye ukumbwa heka 34 na nyumba zaidi ya 400 zinatakiwa kuvunjwa baada ya mwenye eneo hilo alilolipata mwaka 1979 kushinda kesi yake katika Mahakama ya Ardhi wilaya ya Kinondoni na leo zaidi ya nyumba 80 zimevunjwa  hebu jionee picha jinsi tingatinga linavo zivunja na kuacha kilio kwa wenye nyumba na wapangaji.

 Wapangaji wakihama baada ya nyumba kuvunjwa
 Hawa nao wakingojea usafiri
 Wakishauliana wanzie wapi kuondosha vii,m ilango na mabati kabla tingatinga halijafika kuvunja
 Nyumba zilizovunjwa
 Baada ya nyumba kuvunjwa vyombo vikiwa nje
 Wakingojea usafiri baada ya gari kukwama kulia kwenye tope
 Wakakzi wa Kibamba Manispaa ya Kinondoni, wakikimbia mabomu yaliyokuwa yakipigwa jana  na Askari Polisi baada ya kutaka kuleta fujo wakati nyumba zao zaidi ya 80  zilipokuwa zikivunjwa jana kwa amri ya Mahakama ya Ardhi wilaya ya kinondoni. Picha ndogo Kijiko kikiendelea na uvunjaji wa nyumba hizo ambazo zipo zaidi ya 400 zilizojengwa katika eneo la Ekari 43

 Maisha yatakuwaje akifikili kijana huyu
 Nyumba ilipogeuka kifusi na wenyewe wakiokota nondo
 hawa wakipakia mabati na milango

 Nyumba hii iliteketea baada ya tingatinga kufika kabla hajaondosha mbao
 Tingatinga likifanya kazi



 Askari wakiwa na zana zao na wananchi wakiwa na hasira wakati nyumba zao zikiendelea kuvunjwa


 Wakihama
 Tingatinga likianza kuvunja nyumba iliyokuwa imebekiza kuezekwa tu
 Ikianza kuvunjwa





 Ikiendelea kupigwa panki au pasi hadi chini



 Haiwezekani, itawezekana  mabishano kati ya Askari na  raia huku nyumba zikivunjwa
 Kijana akiwa na maji ya kunawa usoni kama mabomu yatapigwa huku akishuhudia nyumba yao ikivunjwa taratibuu



 Hadi chini
 Wakikagua nyumba nyingine
 Wenyenyumba wanapogekuka kuwa wapangaji


 Hapa kijiko kimepita
 Safari ya wapi sasa,  baada ya kujikwamua upangaji sasa wamelejeshwa huko tena maisha yanaendele kuwa magumu baadhi walikuwa wakisema kweli sasa tumeisoma nambaa
kabati chini na nyumba chini

 Hii nayo inasubili zamu yake kuvunjwa
Baibai kibamba 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA