LEO BUNGENI DODOMA


Wakati bunge likiendelea na kikao chake katika kujadili hotuba ya bajeti ya  Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mbunge wa Mjimkogwe CUF, Ibrahim Saanya, alikuwa akijadiliana na wabunge wenzake kutoka Zanzibar maswali ya kumuuliza waziri mkuu katika kipindi cha maswali ya hapo kwa hapa

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akisikiliza kwa makini moja ja maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wabunge 
 Mbunge wa Rombo  Chadema, Joseph Selasin, akimuuliza waziri mkuu swali kuhusu kukashifiwa  wapigakura wa jimbo lake hususan wanaume kukosa nguvu za kiume na kusababisha wanawake kuamua kufuata wanaume nchini Kenya

Baadhi ya majaji, wakimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria alipokuwa akisoma hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2015 na 2016
 Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro, akisoma hotuba ya bajeti ya wizara yake jana bungeni Dodoma, chini nyuma yake ni naibu wa Wizara hiyoUmmy Mwalimu.

 Waziri Kivuli wa katiba na Sheria Tundu Lissu, akisoma hotuba ya bajeti ya kambi ya upinzani  jana bungeni Dodoma
 Tundu Lissu, akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa mashina,kata za jimboni kwake baada ya kumtembelea jana bungeni
 Akienda kuzungumza nao katika ukumbi wa amsekwa
 Picha katika moja ya vivutio vya bunge
 Akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa jimbo lake
 Hoi maswali yanapozidi kuwa magumu kwa mawaziri kutoka kwa wabunge kila w aziri inabidi afikili kivyake wizara yake itakapokuja kusomwa.
Hussein Mwinyi akiwaze wizara yake itakapofika

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA