BUNGENI DODOMA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda,akisoma hotuba ya bajeti ya wizara yake Bungeni Dodoma
 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Bakari Mnyaa Mbarawa, akisoma hotuba  ya bajeti ya Wizara yake bungeni mjini Dodoma
 Mbunge wa Viti Maalum . Lucy owenya, akitoa mchango wake katika bajeti ya Wizara ya Biashara na Viwanda bungeni

Mbunge wa Rufiji Abdallah malombwe, akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara bungeni 

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Bakari Mnyaa Mbarawa, akitoka ukumbi wa bunge  na Waziri kivuli wa Wizara yake  Mhandisi Mohamed  Habib Mnyaa (kulia) baada ya kuahilishwa bune kipindi cha mchana


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene(kulia), akizungumza na wabunge Christowaja Mtinda (kushoto), viti maalum  Chadema na Asumtah Nshama, jimbo la Nkenge CCM. Mazungumzo hayo yalifanyika kipindi cha mapumziko mchana.

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.