WALIOSOMA ST MARY'S MBAGALA WAKUTANA NA WENZAO SHULENI HAPO

Mwalimu Mkuu wa Shule ya StMary's Mbagala jijini Dar es Salaam, Jacob Mmwangi, akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza kongamano la wanafunzi wa shule hiyo na wale waliohitimu Darasa la saba mwaka 2010 na mwaka jana walipasua mktihani ya kidato cha nne. kulia ni Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule hiyo  Mercy Githirua.


 Wanafunzi wakisubili konamano



 Waliohitimu darasa la saba mwaka 2010 shuleni hapo wakisubili kuanza kongamano
 Mkurugenzi wa idara ya habari katika shule hizo Dallas Mhoja, akizungumza nao






 Bhoke John, mhitimu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzuri wa shule hizo kwa kijana anapoanzia hapo na kwenda shule zingine


 Mhitimu wa shule hiyo  Emmanuel Pantaleo, akizungumza na waandishi baada ya kuwasili kwa ajili ya kongamano



Wakimuomba mungu kabla ya kuanza kwa kongamano hilo






Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.