RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) YATAKAYOFANYIKA LITUHI, NYASA, MKOANI RUVUMA TAREHE 3 MACHI, 2015




 
RATIBA YA KUAGA RASMI MWILI WA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) SIKU YA JUMATATU TAREHE 2 MACHI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI
________________________________________

NA.
MUDA
TUKIO
MHUSIKA

1.
12:00 - 01:00

Familia na Waombolezaji kupata chai nyumbani

Kaimu Katibu wa Bunge
2.
01:00 - 04:00
Misa ya kuaga mwili wa Marehemu

Kanisa Katoliki,
Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa

3.
04:00 - 04:30
·         Ndugu, Jamaa na Wananchi kuwasili katika Viwanja vya Karimjee

·         Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika nafasi zao

Katibu wa Bunge

4.
04:33
Kiongozi wa Upinzani Bungeni  kuwasili

Kaimu Katibu wa Bunge
5.
04:36
Mhe. Naibu Spika kuwasili

Kaimu Katibu wa Bunge
6.
04:39
Mhe. Spika kuwasili

Mhe. Naibu Spika
7.
04:42
Mhe. Waziri Mkuu kuwasili

Mhe. Spika
8.
04:50
Mhe. Makamu wa Rais kuwasili
Mhe. Spika

9.
05:00
Mhe. Rais kuwasili

Mhe. Spika
10.
05:00
Mwili wa Marehemu kuwasili  kwa gwaride maalum la Sergeant-At-Arms

Katibu wa Bunge
11.
05:00 - 05:15
Sala fupi
Kanisa Katoliki,
Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa
12.
05:15 - 05:20
Wasifu wa Marehemu

Kaimu Katibu wa Bunge
13.
05:20 - 05:30
Salamu na Rambirambi za Chama cha Mapinduzi (CCM)

Katibu Mkuu, CCM
14.
05:30 - 05:35
Salamu na Rambirambi kutoka kwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Kiongozi wa Upinzani Bungeni
15.
05:35 - 05:45
Salamu na Rambirambi za Serikali

Waziri Mkuu
16.
05:45 - 05:55
Salamu na Rambirambi za Uongozi wa Bunge

Mhe. Spika
17.
05:55 - 06:00
Neno la Shukrani toka kwa familia

Mwakilishi wa Familia
18.
06:00 - 06:15
Utaratibu wa safari

Kaimu Katibu wa Bunge
19.
06:15 - 07:15
Kuaga Mwili wa Marehemu kulingana na Itifaki

MC
20.
07:15
Mwili wa Marehemu kuondoka uwanjani kuelekea Uwanja wa Ndege

MC
21.
07:20 - 07:25
Viongozi wa Kitaifa kuondoka kulingana na Itifaki

MC
22.
07:40
Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndege

Kaimu Katibu wa Bunge
23.
08:00
Mwili, Familia na Waombolezaji kuondoka kuelekea Songea

Kaimu Katibu wa Bunge
24.
10:00
Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndge Songea na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
25.
10:00 - 10:15
Mwili wa Marehemu kuelekea Uwanja wa Majimaji

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
26.
10:15 - 11:00
Mkuu wa Mkoa kuongoza wakazi wa Ruvuma kuaga mwili wa Marehemu

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
27.
11:00 - 01:00
Mwili wa Marehemu kuondoka Uwanja wa Majimaji kuelekea Lituhi, Nyasa

·         Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

·         Kaimu Katibu wa Bunge
28.
01:00
Mwili kuwasili nyumbani na taratibu za kifamilia kuendelea

MC




 
 
RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) 
YATAKAYOFANYIKA LITUHI, NYASA, MKOANI RUVUMA
TAREHE 3 MACHI, 2015
______________________________________

NA.
MUDA
TUKIO
MHUSIKA

1.
04:00 - 05:00
Wananchi, Familia na Viongozi wa Kitaifa kuwasili kulingana na Itifaki

·         Uongozi wa Wilaya na Halmashauri
·         Uongozi wa Mkoa
·         Viongozi wa Vyama vya Siasa
·         Waheshimiwa Wabunge
·         Waheshimiwa Manaibu Waziri
·         Waheshimiwa Mawaziri
·         Kiongozi wa Upinzani Bungeni
·         Mhe. Naibu Spika
·         Mhe. Spika
·         Mhe. Waziri Mkuu
·         Mhe. Rais

Kaimu Katibu wa Bunge
2.
05:00 - 06:00
Chakula cha Mchana

Wote
3.
06:00 - 07:00
Misa
Kanisa Katoliki

4.
07:00 - 07:10
Wasifu wa Marehemu

Ofisi ya Bunge (Mwajiri)

5.
07:10 - 07:20
Salaam na Rambirambi kutoka Chama cha Mapinduzi

Katibu Mkuu CCM

6.
07:20 - 07:25
Salamu na Rambirambi kutoka Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Kiongozi wa Upinzani Bungeni

7.
07:25- 07:30
Salamu na Rambirambi kutoka Mwakilishi wa Serikali

Mhe. Waziri Mkuu

8.
07:30- 07:35
Salamu na Rambirambi kutoka kwa Uongozi wa Bunge

Mhe. Spika
9.
07:35 - 08:00
Msafara wa Waombolezaji kuelekea Makaburini na Mwili wa Marehemu kwa Mazishi
Wote
10.
08:00 - 08:30
Ibada ya Mazishi
Kanisa  Katoliki

11.
08:30 -08:45
Kuweka Mashada ya Maua kulingana na Itifaki

MC
12.
08:45 - 08:50
Shukrani kutoka kwa familia

Mwakilishi wa Familia

13.
08:50
Viongozi kuondoka kulingana na Itifaki

MC
14.
10:30
Viongozi kuondoka Uwanja wa Ndege kuelekea Dar es Salaam
·         Mkuu wa Mkoa

·         Kaimu Katibu wa Bunge




Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.