ACT WAANZA KIKAO CHA KUCHAGUANA UONGOZI WA KUDUMU

 Ukumbi wa kadinali Rugambwa, katika kanisa la ST Peter's Oysterbay jijini Dar es salaam, unapofanyika mkutano wa kamati kuu ya Chama kipya cha ACT leo na kesho
Viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho wakiwa tayari kuzungumza na waandishi wa habari leo kabla ya kuanza kikao chao


Kaimu Katibu mkuu wa Chama hicho Mmwigamba, akizungumza na waandishi wa habari


Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha ACT, Shabani Mambo, akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza kikao cha kamati kuu ya chama hicho kinachofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Muda wa Chama hicho Samson Mwigamba. 



Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.