DCB Commercial Banki kidedea, profesa tibaijuka azungumza jijinini dar

 Mkurugenzi Mtendaji wa DCB Commercial E. Mkwawa , akizungumza na waandishi wa habari Makao makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam, huku pembeni akiwa na tuzo ilizopatiwa benki hiyo na Bodi ya uhasibu nchini ya NBAA huko Arusha kwa kuwa benki ya tatu nchini kwa mahesabu safi imetanguliwa na benki ya CRDB na NMB.
 Meneja wa Fedha wa Benki hiyo Concolata Lalika, akizungumza na waandishi wa habari alipokuwa akitoa ufafanuzi kabla ya kumkabidhi mkurugenzi tuzo hizo kwani ni yeye aliyeenda mkoani Arusha kuzipokea


 akaisisitiza

Mkuregenzi Mtendaji wa DCB Commercial Banki Edmond Mkwawa, akikabidhiwa tuzo  na  Meneja wa Fedha wa Benki hiyo Concolata Lalika,ya ushindi wa tatu kwa ubora wa ushindi wa uwasilishaji wa taarifa za hesabu kibenki kwa mwaka 2014 ilioyotolewa na NBAA mkoani Arusha mwishoni wa wiki. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam









WAZIRI WA ARDHI NA MAKAZI, PROFESA TIBAIJUKA, AKIWASILI HOTELI YA KEMPINSK KILIMANJARO KUZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JIJINI DAR


 Akipokelewa na ndugu na jamaa


 Wanahabari wakijiandaa kuchukua habari


 Mwandaaji wa Mazungumzo hayo Princde Mahija Bagenda, kitoa maelezo kabla ya kumruhusu kuzungumza

 Waziri akizungumzia kupewa mgao wa fedha zinazodaiwa zina utata na mfanyabishara matata nchini James Rugemalira zaidi ya Bilioni moja





 Amewaambia wanahabari hatajiuzuru na itakuwa ni ajabu akijiuru ni nini kilichomsibu  yeye aliomba msaada na akapewa kwa ajili ya kuwasaidia watoto wa kike wa kitanzania na si vinginevyo. na kusema kama kunamakosa katika fedha hizo wenye makosa wawajibishwe


 Wanahabari wakichukua tukio zima










 Waandishi wakiwajibika








 Bado nalitumikia taifa langu wanaoandika uchochezi juu yangu waachane na mimi.




NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WANAHABARI DAR

Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, anayeshughulika na Elimu Kassim Majaliwa, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2015. Kulia ni Mkuruhenzi Idara ya Elimu TAMISEMI, Bernad Makali


 Wanahabari wakimsikiliza na kuchukua taarifa hizo






Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA