VIWANJA VYA NDEGE, MASABURI NA KIKWETE JIJINI LEO

 Mameneja wa Viwanja vya ndege nchini wakiwa katika mkutano wao wa siku mbili katika jiji la Dar es Salaam mkutano hu0o ulitalajiwa kufunguliwa na Waziri wa uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe

 Wakijadiliana jambo





Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege nchini ( TAA) Mhandisi Suleiman Said Suleiman, akizungumza na waandishi wahabari jana katika mkutano wa mameneja wa Viwanja vya ndege nchini unaofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni  Mkurugenzi wam Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha  Julius Nyerere Moses Malaki




 Meya wa jiji la Dar es Salaam DK, Didas Masabuli, akisalimiana na Balozi wa Heshjima wa Tanzania katika jiji la Humburg, Petra Hammelmann, baada ya kuwasili katika ofisi zake  zilizopo Karimjee .


Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi (kushoto), na Katibu Mkuu wa Jiji la Humburg la Ujeruman, wakisalimiana  baada ya kuwasili katika ofisi zake na ujumbe wake kwa ajili ya kufungua mtaa Dar es Salaam



 Meya, akisalimiana na balozi wa Ujerumani nchini Egon Kochanke (kushoto)



 Wakibadilishana mawazo baada ya kuwasili
 Wakiondoka kwenda kufungua mtaa

Kikundi cha utamaduni kutoka Temeka kikitoa Burudani katika hafla hiyo
 Wakionyeshwa mtaa wenyewe




 Wageni wakisalimana na wenyeji baada ya kukutana nchini

 Mashuhuda wakishuhudia
Meya akizungumza kabla ya kufunguliwa

 Wageni waalikwa ambao wengine ni madiwani wa jiji la Dar es Salaam.



 Balozi wa ujurumani akaizungumza katika hafla hiyo



 Katibu Mkuu wa Jiji la Humburg la Ujeruman, Wolfgang Schmidt, akizungumza kabla ya kufungua


 Wakisikiliza mshereheshaji
 Afisa Habari wa jiji akizema mamchache katika hafla hiyo
 Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi (kulia), na Katibu Mkuu wa Jiji la Humburg la Ujeruman, Wolfgang Schmidt, wakifunua kitambaa kuashilia uzinduzi wa barabara ya mtaa wa Humburg zamani Garden jijini Dar es Salaam jana








 wakifurahia baada ya kufungua

Wakipiga pichA YA PAMOJA NA WAGENI WAKE KUTOKA UJERUMANI








 Wakitembelea barabara yenyewe baada aya kuizindua na kuipa jina jipya

 Wakiwa katika kibao kinachoonyesha mtaa






 Dk. Masaburi na mgeni wake wakicheza ngoma



Mgeni akiwa amepaghawa na ngoma za Kitanzania



Balozi akifurahia ngoma za kitanzania




Rais Jakaya |Kikwete, akifungua kongamano la siku ya utumishi nchini lililofanyika jijini Dar es Salaam leo



 Washiriki wa kongamano hilo wakimsikiliza rais










 Wanahabari wakiwajibika katika kongamano hilo

 Wa;iowahi kuwa makatibu wakuu viongozi Ikuklu wakiwa katika kongamano hilo



 Rais akaiwayunukia zawadi viongozi wa mashirika yaliyofanikisha kongamano hilo













 Watunukiwa wakiwa na zawadi zao


 Rais akienda kupiga picha baada ya kufungua
Oicha na viongozi wa utumishi






Picha  na washsiriki wa kongamano


 Picha ya rais na Makatibu waliowahi kuwa Ikulu





 Rais akiteta nao baada ya picha









 Vipodozi vilivyozuiliwa kuingia katika kongamno hilo alilokuwemo rais, vipodozi hivi vilivkuwa katika pochi za akina mama


Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue (katikati), akiwasikiliza kwa makini Makatibu wakuu watangulizi wake Phileomn Luhanjo (kushoto) na Balozi, Martine Lumbanga (kuli), baada ya ufunguzi wa kongamno la siku ya utumishi linalofanyika jijini Dar es Salaam






Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.