MAKAMANDA WA POLISI MIKOA WAWATOLEA UVIVU WABUNGE NA WATUMISHI SERIKALINI

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Jistus Kamugisha, akiwaomba watumbisha wa serikali kama Wizara ya Mifungo na Uvuvi, kutoa elimu kwa wananchi  kuhusu mifugo yao wanapokufa wanaenda kwa wanganga na kuambiwa wanalogwa na kuanza kuwauwa wazee kitu ambacho siyo kweli










Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Charles Mkumbo, akichangia mada katika mkutano wa wadau wa ulinzi na usalama nchini wanaojadili masuala ya kishirikina na mauaji ya wazee unaofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Venance Mlowola, Kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza na Kulia ni  Kamanda wa polisi Mkoa wa Kagera , Henry Mwaibambe

 Ofisa kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akitoa maoni yake kuhusu uendeshwaji wa kesi za mauaji ya wazee ambapo alisema mashahidi wengine huwa hawajitokezi mahakamani kutoa ushahidi na kusababisha wauaji kuachiwa kwa kukosa ushahidi na kuleta malalamiko kwamba wamepokea rushwa



 RPC mkoa wa Simiyu,  Charles Mkumbo, akisikiliza kwa makini
 RPC, Mwanza Venance Mlowela, akisikiliza kwa makini majadiliano
 RPC wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe, akisikiliza majadiliano
 RPC, wa Mkoa wa Geita, Joseph Konyo, akisikiliza majadiliano
 Makamanda wakiwa katika majadiliano
 RPC wa Mbeya, Ahmedi  Msangi, akiwa katika mkutano huo
 Mwenyekiti wa Kamti ya Bunge ya Ulinzi na Usalama Brigedia Jenerali Mstaafu Hassan Ngwilizi, na wajumbe wenzake wakiongoza mkutano huo
 RPC, Mkoa wa Taboraq Salome Kaganda, akizungumza katika mkutano huo
 Akibadilishana mawazo na mshiriki mwenzake
 RPC Kaganda
 Chiligati, akizungumza na wajumbe wa mkutano huo baada ya kumalizika

Akisisitiza jambo na wajumbe

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.