KINANA WILAYANI MAFIA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka Nyamisati wilayani Rufiji kwenda wilayani Mafia kuendelea na ziara yake katika mkoa wa Pwani,
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipanda boti kutoka  kutoka Nyamisati wilayani Rufiji kwenda wilayani Mafia kuendelea na ziara ya Kinana katika mkoa wa Pwani,
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akisafiri na wananchi katika boti kutoka Nyamisati kwenda Rufiji katika mkoa wa Pwani leo.
 Wananchi wa Mafia wakiwa wamekusanyika kwenye Pwani ya Bahari ya Hindi, kumlaki Kinana alipowasili leo Kisiwani Mafia mkoani Pwani leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili Mafia leo. Mbele yake ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
 Kinana akiwasalimia wananchi waliofika kumlaki Mafia
 Mwandishi wa Habari Leo Anastazia Anyamike akishuka kwenye boti Mafia baada ya kuwasili na Kinana
 Mwandishi wa Star Tv, Joseph Mpangala akishuka kwenye boti na vifaa vyake vya kazi baada ya kuwasili na Kinana kisiwani Mafia
 Mpigapicha Mkuu wa Jamboleo Richard Mwaikenda ambaye  pia mtayarishaji wa Kamanda wa Matukio Blog akishuka kwenye boti katika msafara huo
Mwandishi wa Jamboleo, Said Mwinshehe akishuka kwenye mtumbwi baada ya kuwasili na Kinana katika kisiwa cha Mafia leo
Waandishi wa habari wakipelekwa kwa boti dogo ufukweni baada ya kuwasili kwa boti kwenye pwani ya Kisiwa cha Mafia. LEO

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.